Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.

Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Muda wa kuangalia TV unaupataje aisee? Kuna watu mna raha sana.
 
Nina DSTV tangu mwaka 2017 but sijawahi ifungua Chanel 128. Ndo umenistua hapa naona kuna Mieleka hapa [emoji3]
Unaoneka huwa unapishana na mengi...labda nikusanue tena kuna channel ya TNT 137 humo ni full action njoo na 113 na ukitaka series za kiswahili njoo 140
 
Back
Top Bottom