cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo nayo sio mbaya. Au 158 aangalie Njoro wa Uba, nyanya rukia au Hulabaloo estate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo nayo sio mbaya. Au 158 aangalie Njoro wa Uba, nyanya rukia au Hulabaloo estate
Em tujuze kunaniiii??Utakaponunua smart Tv kuna kitu nitakuambia. Hii ni Siri nzito. Uta enjoy hadi unirushie salio
Hiyo kix mbona inamovie za kijinga jinga sanaDstv ni Jiwee,
Hasa Hicho kifurushi cha 60k
Mimi azam ukitoa
MBC 2, Max na KiX
Nyingine ni za Ma hause girls.
Hivi azam wana channel nzuri za documentary, science/technology kweli?
Channel ipiAir crash investigation
Storage Wars
Science of Stupid
Hizi ni miongoni mwa vipindi vingi vya kufururahisha na kujifunza.
Smart tv kwa bundle lipi mkuu. TusitishaneUtakaponunua smart Tv kuna kitu nitakuambia. Hii ni Siri nzito. Uta enjoy hadi unirushie salio
Muulize na latest moviesYouTube unaweza kuangalia live sports mkuu?
Kwani mkuu una acess bure chanel?😂😂🏃♂️🏃♂️Smart tv kwa bundle lipi mkuu. Tusitishane
Mbayaaaa 😁Hiyo kix mbona inamovie za kijinga jinga sana
hilo lidole lime fanyaje tenaSolo ananiuzi lile lidole lake ila namkubali linajiamini😂😂😂
Alafu wewe ni mkenya nime kushtukia, Zuku yenu imesha kufa sasa una ponda Azam na kusifia makaburu wa dstv. Alah!!Wabongo bana,sa yenye kitu ipi,mana wengine Azam hamna kitu
Hamna kitu pale mkuuDstv ni Jiwee,
Hasa Hicho kifurushi cha 60k
Mimi azam ukitoa
MBC 2, Max na KiX
Nyingine ni za Ma hause girls.
Hivi azam wana channel nzuri za documentary, science/technology kweli?
mH dstv wana chennel za X ?!Mimi Huwa Nalipia Kifurushi Cha Lak 2 Na Nusu Napata Mpaka Channel Za X
Au ndo utamu wa pipi ni mate yako.Mbayaaaa 😁
Au sisi ndio hatujui movie?
Muda wa kuangalia TV unaupataje aisee? Kuna watu mna raha sana.Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Unaoneka huwa unapishana na mengi...labda nikusanue tena kuna channel ya TNT 137 humo ni full action njoo na 113 na ukitaka series za kiswahili njoo 140Nina DSTV tangu mwaka 2017 but sijawahi ifungua Chanel 128. Ndo umenistua hapa naona kuna Mieleka hapa [emoji3]
Wewe 24hrs za siku huwa hupumziki? Unachakarika tu unapoamka mpaka unalala?Muda wa kuangalia TV unaupataje aisee? Kuna watu mna raha sana.
136 na 181Channel ipi