Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Watu wa dstv hawajuagi majina ya channel[emoji1787]

Miaka na miaka utasikia tu channel namba fulani na fulani
Kwa kweli zipo nyingi sana kuzikariri labda kule DAMU DAMU DAIMA sijui
 
Unataka tuache kaz tuanze kukariri majina ya Channel zaidi ya 900?
Mbona hizo namba za channel mnakua mmekalili,

Alafu kingine mnahisigi channel za kwenye dstv kwingine hakuna

Unakuta mtu anapost status au twitter chechi dstv namba xx muda huu.
Kumbe channel ni nat geo labda ambayo ipo katika decoder zote🤣🤣

Jifunzeni majina wakuu
 
Ewaaaaah sema Ronda siku hizi sijui kaenda wapi ila namkubali. Roman simpendi hapa nasubiri tu anyang’anywe mkanda
Hata mo Roman simpendi kabisa amesabisha hata wale mapacha siwapendi
 
Akina Usos mmoja yule Jay Uso alishajitenga na The Bloodline sasa hivi yupo zake mwenyewe na anafanya vizuri sana. Aliondoka pia Smackdown sasa hivi yupo Raw.

Halafu Jay Uso ni Crush wangu🫣 nampenda🙈
Umenishindaaaa kama Uso's moja ni crush wako😂😂😂
 
Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.

Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Unapata kila kitu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] How??!!!.... Ina bafu ndani nn na ina mbo* au
 
Back
Top Bottom