Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Dstv ndo mwisho wa matatizo! Kama unapenda kujifunza vitu huwezi kuchoka, channel 181,182, 136 na 171... Ukiziangalia lazima ubadilike kifikra tu
 
Na hapa Kwa vile hubby hayupo naangalia mpaka asubuhi
 
Miezi 6 duuh watu mna siri nyie me nalipa 105000 kwa mwezi
Kuna vingamuzi vyao vya demo walikuwa wanawapa wafanyakazi zamani. Kuna vyenye kifurushi za juu zaidi, na vingine vinakuwa na vifurshi vya chini. Ukiwa nacho hulipii. Kuna mdada aliniuzia kitambo kwa 800000 nikakitumia mwaka na mimi nikaja kukiuza nilivyofulia. Mwaka jana nikamcheki akaniambia siku hizi hakuna
 
Back
Top Bottom