Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Kila laheliSalamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Nina DSTV tangu mwaka 2017 but sijawahi ifungua Chanel 128. Ndo umenistua hapa naona kuna Mieleka hapa [emoji3]Usiache kuangalia channel 128 [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wa dstv hawajuagi majina ya channel[emoji1787]
Miaka na miaka utasikia tu channel namba fulani na fulani
Wewe umefata huba huna lolote😄Mkuu sio tangazo,naongea uhalisia,zamani niliogopa Dstv nilijua hakuna Cha maana,wabongo wana maneno ya kupondea mno
Kwahiyo utaaangalie Youtube na watoto? Na wife? Na dada wa kazi?Mi huwa naona bora ulipie internet tu, YouTube kuna kila kitu!
Unapenda mieleka?Usiache kuangalia channel 128 🔥🔥🔥
Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.
Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
24000Dah kifurushi cha bei rahisi kabisa ni sh.ngapi?
Unataka tuache kaz tuanze kukariri majina ya Channel zaidi ya 900?Watu wa dstv hawajuagi majina ya channel🤣
Miaka na miaka utasikia tu channel namba fulani na fulani
Mkuu si wanaangalia smart tv ina youtube ndani, watoto kuna youtube kids...ninaposema youtube ina kila kitu namaanisha kila kitu!Kwahiyo utaaangalie Youtube na watoto? Na wife? Na dada wa kazi?
Acha ubinafsi mkuu
Njoo inbox mkuu.. Kifurushi sio ghali.unahela mi kile cha 24 tu kimenishinda !! yaan maisha magumu jamani
NdiyoUnapenda mieleka?
😂😂😂haya nilipe kwa kukushtuaNina DSTV tangu mwaka 2017 but sijawahi ifungua Chanel 128. Ndo umenistua hapa naona kuna Mieleka hapa [emoji3]
Hongera. Siku hizi mambo mengi hata wana mieleka wenyewe siwajui tena. Maana sidhani kama kina Kane, Sting na wengine bado wapo.Ndiyo