Nimeushtukia mchezo

Nimeushtukia mchezo

Vitoto vya miaka hii kumiliki smart tu vinaanza mambo ya ajabu ajabu, unakuta vipo busy mtaani, sokoni eti vipo kwenye maandalizi ya birthday ya fulani, mbafu kabisa
 
Pole yao sana wanaokutana na hayo maswahiba...

Unakutana na mwanamke leo, anakuambie kesho birthday yake... Hahahaha
Hizi sherehe zinatufanya tuonekane malimbukeni,yaan mtu Kwa mwaka unakuta amezaliwa mara 6 na hajishtukii🤣🤣🤸
 
Back
Top Bottom