Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nimeutua mzigo mzito jana usiku

U akuwa kwenye mahusiano na pisi kali lakini ukiona simu yake unaogopa ipokea maana unajua hapa nikuombwa hela tuu
 
"Kwasababu wee ni mwanaume." Na utaendekea kuteswa kila siku kisa hio kauli.. hao ulitakiwa uwakane wajilipie hapo
 
Toto bado lipo; na jana tulikuwa naye maeneo fulani, tukimsulubu mbuzi; kweli kuacha mtoto mkali si kazi rahisi 😀😀
 
Unaonekana hauhudhurii vikao vya humu ,mbinu zote za kivita zilishatolewa humu wewe unafeli wapi?, Hukutakiwa kumpiga chini mapema hivi, huyo ungetafuna mpaka ukimbie mwenyewe
Alisharudi kundini, tunaendeleza kama kawaida na ndani ya mwaka huu yuko tayari kubeba ujauzito 😀 😀
 
U akuwa kwenye mahusiano na pisi kali lakini ukiona simu yake unaogopa ipokea maana unajua hapa nikuombwa hela tuu
Wanatesa sana, unajua usipomuhudumia kuna baharia atamuhudumia; majuzi nilikuwa na hii pisi maeneo fulani ya starehe, akaja jamaa yake wa zamani mezani, kwa sababu sisi ni watu wazima tukashea abc na kupiga mvinyo na nyama hapo mezani, nikamwambia kwa sasa niko naye, basi ikabidi aangalie mazingira mengine ya kupata mbadala; mbaya zaidi pisi haimtaki.

Kwa sasa nampiga shoo za kibabe za bila huruma, ata akisema leo anaondoka, awe ametumika vizuri, mbaya zaidi amekubali mwaka huu abebe tumbo baada ya kufanikisha kitu fulani (x). Na akishabeba, nakuwa full jeuri.​
 
Mzee ikule hiyo pisi tuu maana ipo siku njemba nyingine nayo itakula
 
"Kwasababu wee ni mwanaume." Na utaendekea kuteswa kila siku kisa hio kauli.. hao ulitakiwa uwakane wajilipie hapo
Kuna shepu ukikutana nazo, lazima uwe mpole tu; ukiona mwanamke anahongwa nyumba, gari, cheo usifikiri mwanaume hakuwa na akili.
357477517_867387848294248_7363606893915417623_n.jpg
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Tafuta mwanamke umuoe bila hivyo utaendelea kuwa ATM 24 hrs.

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
 
Acha kabisa watu wanakojolea pazuri jamani tusake hela tuu. Imagine sasa unaonkama hawa wanne full burudani
Changamoto kubwa huwa ni fedha tu, kwa sababu wengi sio wavumilivu
 
Ndio hivyo mwanawane ukikosa ndalama ni bye bye.
Kumiliki pisi kali uwe na hela bwana lah sivyo wapigie nyeto tuu
Usipokuwa makini nao, wanafilisi ile mbaya; akikohoa tu anataka uwe tayari kumeza makohozi yake; ukishindwa tu, kibuti kinakuhusu.
Najua akishabeba ujauzito ukafikia miezi minne, nami naanza kumpiga saundi za hapa na pale 😀 😀
 
Mie kuna mmoja nilimpata aise ni mrembo balaa yaani ukipita nae sehemu lazima watu wamtolee macho. Ila sasa hizo huduma mhm nikaona sasa hapa naishi kwa stress wacha nikubali huyu sio level yangu. Picha zake ninanzo so nazipigia nyeto na kyupi zake alizoacha🤣🤣🤣🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], umemla mara 3 tu aseeeee [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Washamba hawaishi kumbe
Umeona eenhh??!!.
 
Mie kuna mmoja nilimpata aise ni mrembo balaa yaani ukipita nae sehemu lazima watu wamtolee macho. Ila sasa hizo huduma mhm nikaona sasa hapa naishi kwa stress wacha nikubali huyu sio level yangu. Picha zake ninanzo so nazipigia nyeto na kyupi zake alizoacha🤣🤣🤣🤣
ha ha ha, kwa hiyo hutaki tena kumrudia? Wanaume tumeumbwa ili tule vizuri (steki ya nyama iliyonona) na si kula utumbo; utumbo tunakula kwa sababu ya shida 😀 😀
 
Back
Top Bottom