Nimeutua mzigo mzito jana usiku

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣, umemla mara 3 tu aseeeee πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Washamba hawaishi kumbe

Wewe ndo mshamba .
Mwanamke kama pasua kichwa unampiga chini fast hata kama hamna sex ..
Kupigania k Kwa nguvu na kujiumiza financial wala sio sifa...


Sisi wengine ukisema Tu unakuja peke yako halafu ukaja na rafiki yako...hapo hapo unapigwa chini....
 
Huna pesa ww weka namba yake hapa na namba yako ya watsup nitakitumia connection
 
Na bado. Kama saizi yako ni ki Ist au passo baki huko huko. Range rover envogue sports tuachie sisi wenye pesa zetu
 
Acha upuuzi, yaani umemuacha bila kumpa mimba halafu unakuja kutuletea mastori ya ajabu humu.
Sasa wale wazee wa kulea watoto wa jkoo wa watu unataka wlee nini?
πŸ˜€ πŸ˜€ Nilikuwa namshawishi sana, akawa anasema nisubiri mambo yake yakae sawa; pia siku za hatari haji
 
basi haina maana kuwa na mpenzi πŸ˜‚
mshamba_hachekwi mwenzio kakimbiwa Chezea Wanawake na πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ’°πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹

Umeona kilio cha Mwanaume mwenzio hapo juuπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹ anasemaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…