mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
si ndio maana yake, nyie kausha damu sitowaweza 😂Tafuta unaefanana nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si ndio maana yake, nyie kausha damu sitowaweza 😂Tafuta unaefanana nae
Equation x ungeonyesha mfano kwa mwenzangu hapo sio mpaka akukimbie🤣🤣🤣👋Kama una huo muonekano we njoo, tutauza ng'ombe wa urithi 😀 😀
Umeme duh wewe nomaAje kwangu najua kuhonga ela lakin ajue ntamuachia zawadi ya kudumu kwenye damu yake
UliyatakaNilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
Nb: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi
Wengine heartless kitambo.......Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

hizi avatar za JF hiziiii😂🙌Hela ipo kaka, natafuta Marioo wa kumlea
mshamba_hachekwi ata wa size yako lazima💰💰💰ziwepo kwa kiasi chake🤣🤣🤣👋si ndio maana yake, nyie kausha damu sitowaweza 😂
Kweli usiposhtuka mapema, utajikuta unatimiza ndoto zake badala ya za kwakoHesabu za value for money unapokuwa na hizi pisi zinazopenda vizinga muhimu sana la sivyo mwishowe ni majuto
InawezekanaWewe ulikuwa danga tu, utakuta kuna boya anamla vizuri kabisa tena bila hata kutoa pesa
laki kwa mwezi ndio kiasi changu😁mshamba_hachekwi ata wa size yako lazima💰💰💰ziwepo kwa kiasi chake🤣🤣🤣👋
mshamba_hachekwi subiri kukimbiwa🤣🤣🤣👋laki kwa mwezi ndio kiasi changu😁
Unadata na avatar mkuu??? Hatuweki sura ng'oooo😂😂😂😂😂😂hizi avatar za JF hiziiii😂🙌
Mapenzi ya pesa yanapoteza utuHuna pesa ww weka namba yake hapa na namba yako ya watsup nitakitumia connection
kwahiyo we unataka kuniambia unaangalia hela tu basi😂 utapata kweli mchumba??mshamba_hachekwi subiri kukimbiwa🤣🤣🤣👋
Ata wale matajiri kule duniani ndoa zao zilivunjika; hawajulikani wanataka nini 😀 😀Na bado. Kama saizi yako ni ki Ist au passo baki huko huko. Range rover envogue sports tuachie sisi wenye pesa zetu
Weka sura,mwanamke jiaminiUnadata na avatar mkuu??? Hatuweki sura ng'oooo😂😂😂😂😂😂