Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nilikuambia utakuja kufa na mimama mizito na kile kifua Cha sigara shauri yako siye wamarangi wenzako hàtukatagi watoto wa nje hivi kile kitu kipo au hakipo
 
Huwezi kushindana na u
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

Nb: Warembo wenye muonekano huo,​
Mashangazi watakunyoa kila unywele🤣🤣🤣
 
Hata mimi nilishawahi kusumbuliwa sana na tandam moja zamani kidogo wakati ujana umechachamaa.

Sema mimi sikua na hela kama wewe ila nilikua nina makasiriko sana. Nilikua napigwa tarehe mpaka nasema pooh.

Nadhani hilo somo la hawa viumbe liliniwahi mapema kidogo, kwaiyo nikajifunza namna ya ku deal na hizi kunguru (wadangaji).

Kaka, dawa ya wanawake wa hivyo huwa ni moja. Akikudanganya mara moja tu unashikilia hapo hapo.. siku nyingine hata kama atataka umsaidie vocha ya jero, ni kumpa maelekezo mahali pa kuifuata, kama hatafuata maelekezo basi na hela hakuna. Ila ukimlea lea kizembe atakukausha na utakuja kuumia vibaya sana akikuacha maana gharama ulizotumia ni kubwa halafu hamna cha maana ulichopata!

Deal na kunguru ki kunguru kunguru tu, ukideal naye ki njiwa umekwisha!

Pole sana!
Kuna kitu nimejifunza
 
Back
Top Bottom