Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Inawezekana
Mwanamke ambaye hawezi jitunza wala wazazi wake waliomzaa hawawezi mtunza, wewe ndo utaweza? Binafsi mwanamke ambaye hawezi kujinunulia vitu vidogo vidogo au kujitatulia vishida vidogo vidogo mimi simuwezi kabisaa
 
Siku nyingine demu wa dizaini hiyo omba ushauri wa Wakulungwa usingejuta ungechukua point 3 bila kelele.
Timu ngumu ya aina hiyo unaipeleka Uwanja wenye wa mbali na mjini wenye Tope huko Manungu hakuna mashabiki mnabaki mtu mbili tu zinapigwa kavu kavu. Kumbuka Manungu hawezi toroka hakuna Ubber na Bolt huko ni mwendo wa siku 5 mfululizo mpaka achakae. Anyway jipange ulipe kisasi mwanaume hajawahi felli broo. Ndio kukomaaa hivyo. Pole sana usikate tamaa
Kulitimiza hili mkuu, itaitajika kuwa na M kadhaa; maana yake natakiwa nigaramike sana ili kumleta kwenye mstari
 
Nilikuambia utakuja kufa na mimama mizito na kile kifua Cha sigara shauri yako siye wamarangi wenzako hàtukatagi watoto wa nje hivi kile kitu kipo au hakipo
😀 😀 😀 nipe ushauri, nifanyeje
 
Kuna vitu viwili, kunatoa pesa na mbumbusu ukaichakaza haswa hapo demu lazima apunguze kasi ya kuomba hela kwakuwa anapata midundo motomoto.

Kuna kutoa hela afu ukawa unamtekenya na vihela vyako asipate raha yoyote yakuwa na wewe matokeo yake anaamua kukufanya kitega uchumi ili upite zako. Kwa maelezo yako demu hata Kama anakuchuna hawezi kukuacha eneo la tukio akijua kabisa kuwa ni kikoba chake.

Nakukumbusha toa pesa chakaza mbumbusu kwelikweli!
 
MKUU USIKUBALII... siku nyingne muite mahalii mlee vya kutoshaa omba ruhusa kama unaenda uwaniii ndo iwe jumlaa hivyoo na wao waumieee.
 
Aliyefikiria kuleta roboti tayari mambo haya alishayaona wanawake kunako endelea watakuwa sio ishu tena kwa tabia kama hizi

Mwanamke mpiga vizinga hana tofauti na mwanamke wa bar wewe piga sepa ukiendelea kumganda lazima akifanye danga
 
Back
Top Bottom