Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

Nb: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi​
Unaabudu uzuri wa mwanamke? Utateseka sana chini ya jua hili, Kuna mambo mengi mno yanataka umakini!
 
Tatizo sio urembo wake tatizo ni wewe kuvamia mademu wa watu huku unajikokota una pesa.

Sasa kijana mwenzetu piga hesabu mpaka sasa umeliwa bei gani?

Ungenunua hata boda boda
 
Dah! sijui alikuchukuliaje aisee, au we ni mfupi sana man?
n8.jpg
 
Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.

Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.

Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.

Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.

Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.

Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.

Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.

Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.

Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.

Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.

Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.

Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.

Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.

Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''

kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.

View attachment 2644718

Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.

Nb: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi​
Bahati yako umechoropoka, ungekamuliwa mpaka hela ya mwisho,
 
Aisee wanawake sijui wanajiokoteaga wapi mazoba wa hivi... Anyways pole mkuu... Me nikishamtomba mwanamke hata mara moja anatakiwa awe anafuata maelekezo yangu kama hawez nampiga chini moja kwa moja... Nisumbue sijakukaza, nikishakukaza aisee siangalii nyuma...
 
Back
Top Bottom