Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
Na wewe unatakiwa ujiamini sasa.Nadhani pia muonekano wake na vishawishi anavyopata anakuwa anajiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unatakiwa ujiamini sasa.Nadhani pia muonekano wake na vishawishi anavyopata anakuwa anajiamini
Hata huyo ni size yake... thats alimudu kumuhonga, sema tu hakupendwa hata kwa kulumangia.Pole...tafuta level zako....chukua mzigo size yako uishi kwa amani
Safi. Nimependa maneno yako.Jifanye kama unajirudi, akishusha kufuri tu unampa kitu unasepa.
Hawa wapo kwa ajili hiyo so wala usiwaze mara mbili.
Wakijifanya hawana wakubwa wala wazazi wa kuwasikiliza basi sisi ndiyo Walimwengu wenyewe, tuwanze hiyo ndiyo kazi tuliyopewa na methali za mababu.
Una akili mno dadaAlichakata akazalisha akapiga chini wewe ndio umepigwa chini
Acha ubishi. Hao wanaohonga vitu hivyo hawahongi malaya... wewe ulihonga malaya.Labda uwe hujapenda, wapo watu wanahonga nyumba, gari, vyeo n.k
Malaya na asiye malaya, wana tofauti ganiAcha ubishi. Hao wanaohonga vitu hivyo hawahongi malaya... wewe ulihonga malaya.
Hili nalo ni tatizoTatizo ushamfanya oxygen bila yeye hupumui na keshajua.
JF Raha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pumzi ilikata sio? 😅😅😅
Kila ukipiga hesabu ya ulichotoa na ulichopewa unaona unafanya biashara kichaa 🤣
Ila bangi hapana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Utofauti umeshajithibitisha kwa wewe kutamka maneno haya, "malaya na asiye malaya". UmejijibuMalaya na asiye malaya, wana tofauti gani
Ungekuwa ni wewe ungefanyajewe ni bwege