Ebu acha uwongo wee mrembo...mie toka lini hapa jf nimesema nina phd (pretty huge d.ick) 🤣🤣🤣🤣Huyu ni mwamba ana PHD mzabzab
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu acha uwongo wee mrembo...mie toka lini hapa jf nimesema nina phd (pretty huge d.ick) 🤣🤣🤣🤣Huyu ni mwamba ana PHD mzabzab
🤣🤣🤣🤣Unaona ulivyo mbobezi Sasa,Kumbe hicho ndio kirefu Cha PHD?Ebu acha uwongo wee mrembo...mie toka lini hapa jf nimesema nina phd (pretty huge d.ick) 🤣🤣🤣🤣
Kweli muhimu pesa tuCha mtu huliwa na mtu...heshima pesa
Kwani wee ulikuwa hujui jamani mpenda mizangamuano mwezangu🤣🤣🤣🤣Unaona ulivyo mbobezi Sasa,Kumbe hicho ndio kirefu Cha PHD?
HatA hajawahi muona ni bangi tukaivutia hii picha bangi akaanza kutoa matukioIla bangi hapana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]
Mwanamke wa saiv kunpa mimba ni hadi hatake.Unawajua masista duu wa town hivi kaka.wale washenzi kabla ya kuja kwako anameza P2 mnapiga gemu...akitoka hapo anameza P2 tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha upuuzi, yaani umemuacha bila kumpa mimba halafu unakuja kutuletea mastori ya ajabu humu.
Sasa wale wazee wa kulea watoto wa koo za watu unataka walee nini?
Daaaah,, mkuu umeandika kwa hisia mno, I can feel the pain.Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake.
Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi.
Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji.
Nimepambana kwa kiasi fulani, ingawa kwa upande mwingine ilikuwa mateso kwangu, kwa sababu matumizi yalikuwa makubwa sana.
Tangu nimekuwa naye kwenye mahusiano, ni mara tatu tu ndio nimekutana naye kwenye tendo la ndoa.
Uzuri wake aliutumia kama silaa kwangu, kwa sababu tulianza kutofautiana pale aliponiomba kiasi fulani cha fedha kama mtaji.
Kutokana na changamoto za kiuchumi, nikawa nimemjulisha avute subra kwanza; ila yeye hakunisikia, ikawa kila ninapoomba 'game' anatoa visingizio vingi, mara atakwambia kesho anakuja, lakini haji.
Majuzi aliniomba kiasi fulani cha salio ili akajirembe, nikamwambie anikute sehemu fulani saa tano usiku, alivyokuwa bwege akaja na rafiki yake; nilichofanya nikumpa salio na kupata kinywaji kidogo, ingawa nafsi iliniuma sana.
Mbaya zaidi, siku ya jana aliniomba tuonane na baadaye atanipa haki yangu ya tendo. Ilipofika saa tatu usiku, nikawa nimefika kwenye kiwanja fulani ili tuweze kubadilishana abc.
Baada ya dakika chache akawa amefika tena na rafiki yake; wakaanza kunichuna, wakaanza kuagiza pombe za bei ghali, na kuku mzima.
Kwa sababu mimi ni mwanaume nikawa navumilia mapigo tu, nikiamini baada ya hapo, mwenzie ataondoka, nami nitaenda kujivinjari naye.
Tumetumia mpaka hela niliyokuwa nayo pale ikawa imekata, nikawa bado nadaiwa; ikabidi niwaambie wanisubiri, naenda kuchukua salio kwenye ATM.
Ile tu kuondoka kumbe kwao ndio ilikuwa tiketi ya kunikimbia pale mezani; Ile narudi tu, nakuta hawapo, nampigia simu, ananijulisha eti alikuwa anajisikia vibaya akaamua kuondoka.
Roho iliniuma sana; nikahitimisha ''Inabidi tuachane hakuna namna''
kweli warembo wenye muonekano huu, wanatutesa sana; bora wale wenye muonekano wakawaida sio wasumbufu sana.
View attachment 2644718
Nafsi inauma, lakini hakuna namna, maisha lazima yasogee.
NB: Warembo wenye muonekano huo, jimbo lipo wazi.
Manguchiro sana haya magumegumeMwanamke wa saiv kunpa mimba ni hadi hatake.Unawajua masista duu wa town hivi kaka.wale washenzi kabla ya kuja kwako anameza P2 mnapiga gemu...akitoka hapo anameza P2 tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kumtia mimba labda uwe unaishi naye kabisaa hatoweza kumeza p2 daily ili hii ya kesho njoo tupige gemu..mara appointment anhaha HUWEZI
Watu mna siri kubwa aiss...Manguchiro sana haya magumegume
Hako kalinipita pembeniKwani wee ulikuwa hujui jamani mpenda mizangamuano mwezangu
Shemeji anatuangusha bwana, au na yeye ni kiba100 kama mie 🤣🤣🤣🤣🤣Hako kalinipita pembeni
Tatizo unataka kuendesha VX wakati hata hela ya kununulia mafuta IST ni mgogoro,Sasa si utafute baiskeli tu Ngosha😜😜😜Kweli muhimu pesa tu
Hakina tabu kikubwa ufundi tu.Shemeji anatuangusha bwana, au na yeye ni kiba100 kama mie 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe bwana kibamia hakiingii mpaka usukume na kidole kama vile unachomekea shati 🤣🤣🤣🤣 demu akisema ajigeuze kidogo tuu kimechomoka🤣🤣🤣🤣Hakina tabu kikubwa ufundi tu.