Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
JUMUA MUBARAK MZEE
 
Kwa tahadhari nenda hospitali ya mnazi mmoja hakuna mambo mengi ila lazima upime kwanza...

Ila jaribu kwanza kumshawishi mkapime nae mwambie kuwa umempenda sana unataka kuwa nae kimahusiano nae moja kwa moja.

Sign ya kwanza kwa mwanamke asiye salama huwa haulizii kinga kabisa ikifika muda wa mnyanduano yaani hajali. Hapo taa nyekundu.
 
Lengo lake ni wote muwe mumeunganishwa,sio wanawake tu ata wanaume kama ameadhirika katu hawezi kutumia kinga.
 
Kumbe tuna wachezaji wa Man City hapa jukwaani, wanauza meche alafu wanakuja jukwaani kumsaka Pep Guardiola ili wamwombe msamaha.

Hivyo ndivyo nilivyoelewa title ya Uzi.
Mpange hyo binti uende nae mkapime,ukiona amegoma au anasita sita,basi fanya juu chini upate hzo pep,anaejijua ameadhirika ni ngumu sana kukubali kwenda kupima coz anajijua.
 
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
Dume zima linaogopa ukimwi! Kweli nimeamini wanaume tumebaki wachache sana.
 
Hivi inatokeaje mtu una ubongo kabisa unafanya mapenzi bila kujua hali ya afya zenu kwanza?🤔
Looo anakuja binti geto kwako mkali balaa chuchu zimechongoka kama msumari,faza ukimvua tu nguo kichwa cha chini kwa wakt huo ndo huwa zinaongoza kichwa cha juu.so ukishashusha mzigo tu kichwa cha juu kinarudi kazini ndo hapo sasa unaanza kujiuliza nimefanya nini??? Huwa iko hvyo.
 
Yani chuchu zake zichomoke kuliko mimi ninavyojipenda?
 
Back
Top Bottom