maiko sultan
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 549
- 1,492
Aisee, tafuta PEP mapema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwekewa wimbo wa mtoto kautaka...mtoto kautaka 🎵🎶🎵🎶🎼🎼We nae
Kama kafukua mtaro ni hatari sanaAmekula Mtandao pendwa wa TIGO...Siku hizi unajiita YAS......
apa umenikumbusha kuna siku tulikuwa pale buguruni na washkaj tunapata moja moto. sasa jamaaetu mmoja akachomoka akazama kwenye vibanda vya malaya pale kati ya kiwanda cha baharesa na mataa ya njiapanda vingnguti.PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.
Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.
Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.
Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,
Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.
Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.
Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.
Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.
Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.
Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.
Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.
Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.
Msaada wenu please niko Dar
Ukiendelea kufanya mazungumzo na shetani lazima ujae kwenye mfumo wake.Wajuzi amsaidieni kijana kajitahidi kukwepa lakini shetani kamzidi nguvu
Kichwa cha chini kimekuwa na nguvu kukiko cha juuHivi inatokeaje mtu una ubongo kabisa unafanya mapenzi bila kujua hali ya afya zenu kwanza ?🤔
nyashi na sio yasKama kafukua mtaro ni hatari sana
Kwa michubuko hapana mkuu sijapata.umepata mchubuko? au umeona mashavu tu ukamwaga unasema una HIV.......
anabadili gea angani 90° mithili ya yule marehem naniliu wa upande ule ☝️Unabadili tu gia, From kufuta namba to Sifanyi nae lolote to mwache alale kesho aende to aayaah kanigeuzia makalio, Naombeni Pep.
Speed 120 shaaa.