Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

Unamaanisha umekula kisamvu cha kopo Tena kwa kumpaka mafuta ya nazi?,
 
Wajuzi amsaidieni kijana kajitahidi kukwepa lakini shetani kamzidi nguvu
Kosa afanye yeye halafu asingiziwe shetani. nyakati nyingine huyu shetani anasingiziwa mambo ya kijinga
 
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
Kwahiyo tukuitie takukuru kwani kuuza mechi ni rushwa,sema kabla ya kufanya uamuzi wa kulifikisha hili takukuru
 
"Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zina ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa"

Demu alikupa majibu yapi hayo yasiyo kuwa na ushirikiano?

Labda ni uoga wako huwenda mtoto wa watu haumwi chochote amedhoofu kwasababu ya lishe tu. Na ungekuwa na akili ungekimbia famasi uchukue vipimo mpimane usiku hukohuko.

Hizo habari za kulala na mwanamke usiku kucha ujanyonya hata nyonyo umetuangusha sana wanaume.
Kumbeee
 
Jitahidi pia mtafute shigongo akuelekeze namna nzuri ya kuanza hadithi za kutunga,yote kwa yote utafika mbali ukikomaa
 
Na kama sio VVU basi subiri uletewe habari ya kumpa mimba. Lazima atakuwa alikutega kati ya haya mawili. Sasa ukikimbia nchale, ukichimama nchale!
Kama ni mimba nitaipokea, ila hili la ugonjwa linanipa sana hofu.
Nisaidie mkuu kama una konekshen ya kupata hizo dawa
 
Acha woga , kama ulipiga kimoja wkt k ipo wet hakuna shida, pia umesema mlitumia kilainishi (mafuta ya nazi ) ,,,, HIV ni ngumu kupata kwa mazingira hayo,,, ! Hapo pengine magonjwa ya zinaq kama gono ndo unaweza kupata kama dem alikuwa nayo ! Just relax

Lakini mkuu nasikia maji maji ya ukeni yanakuwa na VVU pia, hapo ndipo ilipo hofu yangu na masaa 72 ya kutumia PEP yanazidi kuyoyoma
 
Kwa tahadhari nenda hospitali ya mnazi mmoja hakuna mambo mengi ila lazima upime kwanza...

Ila jaribu kwanza kumshawishi mkapime nae mwambie kuwa umempenda sana unataka kuwa nae kimahusiano nae moja kwa moja.

Sign ya kwanza kwa mwanamke asiye salama huwa haulizii kinga kabisa ikifika muda wa mnyanduano yaani hajali. Hapo taa nyekundu.
Wakati najaribu kumuuliza ghafla alibadilika sana mkuu simu akakata na akasema kama simuamini basi nifute namba yake na nisimtafute tena, kasema maneno mengi sana ya kukatisha moyo baada ya kumuuliza swala la ukimwi.
Na ukizingatia tayari nimesha lala naye
 
Ana vvu hyo mkuu..

Kama hana basi kafanya fujo sana hata yeye hajiamini
Kapige pep mkuu. Bt siku nyingine kuwa makini sana.
 
MOTOCHINI mambo yenu nyie warundii...hivi bado uko nchini? usalama tumafatilia nyendo zakoo kw ukaribuu sn mzee...na hivi karibunii utanyea ndoo segerea mda mrefu tuu..rudi burundi tu kimya kimya
 
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
Hapo ugonjwa hauna mzee. Kama cha kuvizia ngoma sio rahisi kiasi hicho. Mwenyewe kuna mboga naizagamuaga ila sina uhakika nayo niliipiga meter ya VVU ikasoma kistari kimoja nikaona ipo safi nikawa najipigia tu. Ila nina wasiwasi nayo sana maana inatokea kanda ile ya Unyaluni af ni kitoto cha Buku 2 na alinichomesha power safe mara moja.
 
Back
Top Bottom