Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

Kwanini usitumie kinga
Getoni hutakiwi kukosa hizo
Mpaka mtakapoamua kuziichek afya zenu
Jamani kuna condom hadi za jero
Why usitumie

Kabla sijaolewa sijawahi kuijua ladha ya mboo bila condom
Sijawah

Ndo maana mume wangu mwanzoni nilikua na enjoy sana

Siriaz weka condom geto
 
Wahi vituo vinavyotoa PEP kabla ya masaa 72. Kituo kimojawapo ninachokijua ni Hospitali ya Chuo cha UDSM karibu na Cafteria.

Vipo vingi nchini, uliza uelekezwe. Na ukifika wewe waambie manesi wakupe hizo dawa wasikupange
Soma hapa mtoa mada
 
Siogopi ila naepuka mazingira yanayoweza kunisababishia ngwengwe.
Kwahiyo zile nondo za mr. Deception ni bure?๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Au kuna evidence zaidi ya zake ambazo zimekukinaisha kuwa zile za kwake zilikuwa porojo?๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Mie imani yangu inaniambia ngwengwe bado ni usanii.
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Isijekuwa nimeingia mkenge maana nimecheza rafu sana zaidi ya jamaa hapo juu tena kwa mda mrefu.

Ila kitu hofu tu sina, siku nikiweka hofu naamini nitaanza kuumwa๐Ÿ˜„
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mie siamini kwa kuona watu wanaumwa, mie naamini kwa vipimo vyenye kukinaisha kama electronic miscroscope, hivi vinavyotumika kikawaida vina misleading sana, havimuoneshi virus mwenyewe.

Basi sawa endelea kusubiri hivyo vipimo unavyotaka wewe...
 
Back
Top Bottom