Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Kwahiyo mkuu sasa hv unaogopa mawaya?๐๐Ukishakuwa na watu wanakutegemea utayatazama maisha kwa dimensions tofauti sana ikiwemo na kujiepusha na mambo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha yako.