Nimeuza mechi alfajiri ya leo, nahisi nimeambukizwa VVU naombeni PEP

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
1,692
Reaction score
4,442
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
 
Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliye kutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe Kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyete ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zina ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.
Msaada wenu pleas niko Dar
Acha anasa zako afu nyie mnapata wapi muda wa kuweka secrete zenu kiholela hivi
 
PEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.

Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.

Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.

Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,

Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.

Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.

Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.

Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.

Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.

Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.

Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.

Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.

Msaada wenu please niko Dar
"Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zina ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa"

Demu alikupa majibu yapi hayo yasiyo kuwa na ushirikiano?

Labda ni uoga wako huwenda mtoto wa watu haumwi chochote amedhoofu kwasababu ya lishe tu. Na ungekuwa na akili ungekimbia famasi uchukue vipimo mpimane usiku hukohuko.

Hizo habari za kulala na mwanamke usiku kucha ujanyonya hata nyonyo umetuangusha sana wanaume.
 
Back
Top Bottom