Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Mwanaume hapaswi kuogopa ukimwiWasinzi wenye wenge huwa ndivyo walivyo 🤣
Anakula kavu😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume hapaswi kuogopa ukimwiWasinzi wenye wenge huwa ndivyo walivyo 🤣
Ukiwa mzinzi hautakiwi uwe na mawenge umeshaichapa kavu piga hizo dawa tulia kikiumana ni ajali katika haraka za kusaka utamu.Mwanaume hapaswi kuogopa ukimwi
Anakula kavu😹
😂😂😂Ivi izo pep waga zina.backfire kweli?Ukiwa mzinzi hautakiwi uwe na mawenge umeshaichapa kavu piga hizo dawa tulia kikiumana ni ajali katika haraka za kusaka utamu.
Sijui mkuu😆😆😆😂😂😂Ivi izo pep waga zina.backfire kweli?
Au ukitumia ndo hupati
Ngoja mwenye uzi atuambie kama alipata ukimwiSijui mkuu😆😆😆
Mpaka leo sijaenda kupima, maana ndani ya masaa 72 nilikosa PEP, kila nilipoenda ilikuwa hawanipi ushirikiano mpaka yale masaa yakaisha.
Uwe makini Sasa nobody cares about you more than you doMpaka leo sijaenda kupima, maana ndani ya masaa 72 nilikosa PEP, kila nilipoenda ilikuwa hawanipi ushirikiano mpaka yale masaa yakaisha.
Nilienda mpaka Marie stopes lakini waliishia kunipa blah blah kibao bila kunipa hizo PEP,
Tangia hapo sijalala na mwanamke yoyote mpaka sasa..
Ila yule dada kwa ufupi ipo siku atalipa.
Ikiwa nitakuwa na VVU, basi nitatafuta mwenye VVU mwenzangu,
Yule dada mpaka leo ameniblock kwahiyo bila shaka dhamira yake ilitimia hana shida na mimi tena.
Mpaka sasa sijaona dalili , zozote mbaya.
Ila nitaenda kupima na kama nikikutwa nao basi yule dada atalipa.
Hakika mkuu.Uwe makini Sasa nobody cares about you more than you do
naunga mkono hoja.Kifo n kifo
NendaPEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.
Hata mimi kisa changu ni cha dharura naombeni PEP.
Kisa chenyewe kuna binti nilikutana naye mtandaoni. Picha zake alizokuwa ananionyesha kwakweli ni binti mzuri ambapo nwanaume yeyote lazima angehitaji atue mizigo yake pale.
Baada ya kupita siku nyingi za mawasiliano ikabidi tupange siku ya kuonana na kukulana.
Kwakweli binti wa kwenye simu na huyu niliyekutana naye ni mawingu na ardhi hawafanani hata kidogo,
Huyu binti ambaye nimekutana naye amechoka sana,
Yaani kabinti kamechoka, uso hauna nuru tena.
Zile picha alizokuwa ananitumia ni picha zake za zamani wakati bado akiwa na Bamba taa.
Sasa baada ya kumuona vile ikabidi nisimuonyeshe kwamba simuhitaji.
Nikamnunulia kiepe akala vizuri baada ya hapo nikamtafutia sababu ili tusifanye mapenzi akakubali akaondoka.
Namba yake nikaifuta baada ya kuondoka nikawa simtafuti tena, ila yeye akinitafuta napokea tunaongea vizuri.
Ameomba sana mara kadhaa kuja geto ila nikawa naleta sababu mpaka arobaini yangu imefika jana Usiku mida ya saa 5 kanipigia simu kwamba yuko kituoni stendi nikamchukue.
Binti anakaa Bunju, amekuja mpaka huku ninayoishi zaidi ya gari 3 huku kwakweli usiku huo ikabidi nijikaze tu kiume nimpe hifadhi asubuhi akiamka arudi kwao.
Tumefika ndani sijataka mazoea yoyote ya kingono,
tumelala vizuri usiku wote ila Wakuu nyege ni mbaya sana.
Asubuhi mtoto kanigeuzia tako sasa mimi hapo nikawa sina namna.
Ikabidi tu nizamishe japo niliweka mafuta ya nazi kupunguza msuguano.
Nimepiga kile kimoja cha kuvizia sana yaani kama kuku.
Sasa wakuu mpaka hapa sina amani naombeni kujua wapi nitazipata PEP ili nijiweke sehemu salama.
Nimemuuliza demu kama anaumwa ugonjwa wowote wa zinaa ameishia kunipa majibu ambayo hayana ushirikiano kabisa.
Nisaidieni wakuu maana leo Ijumaa hospitali nyingi kuanzia kesho weekend hazitafunguliwa mpaka Jumatatu.
Msaada wenu please niko Dar
Wenzio kavu wanapakua asali ombooi lohPEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.

Usiogope hio KAUSHA DAMU mkuu ungekutana na LBL ungezima dataaPEP nasikia ni maalum kwa watu ambao wanahisi wameambukizwa VVU kwa dharura.

Mimi siyo mtu wa wanawake mkuu, basi tu ndiyo hivyo.Acha ngono zembe we jamaa🤣