Nimeuziwa gari la urithi bila kuelewa, najinasuaje huu msala

Mwaka jana June, Kuna jamaa angu aliuza nyumba buswelu mwanza,

Kahamishia familia kijijin ili apate mtaji wa kuboost bussness zake pesa nyingine apate nyumba ya wastani huku kijijin ili ajipange,

Jamaa Akaishia kuanza kula bata, kanunua gari ambayo kumbe ishablokiwa na TRA,
Tangu Agost gari IPO TRA,

hlf wakati anatoka kuinunua alikula nayo mweleka mbaya sana ingaw ilitengenezeka.

Note: gari za mkononi pasua kichwa sana.

Msaada wa mawazo:
Baada ya kununua gari inatakiw libadilishwe umiliki baada ya muda gani?

Pia gharama zinakokotolewaje?
 
Hii ni kali duuh
 
Nenda pale TRA na kadi yako…kisha tafuta mtu wa kuongea naye [emoji1911]
 
Kwa maelezo yake kadi OG anayo, alikosa viambatanisho vingine kama kitambulisho na picha za mmiliki.
Kweli nimesoma vizuri kumbe kadi anayo na mkataba pia anao alioandikishiana na huyo jamaa.
Sema hajaweka wazi huo mkataba waliandikishiana wapi kwa mjumbe,mwenyekiti wa mtaa au kwa wakili na je kulikuwa na mashahidi?
Kama kuna mashahidi walikuwepo wakati wa kuandikishiana kesi inakuwa ndogo sana,ila kama waliandikishiana wenyewe tu wawili kienyeji jamaa alieuza atamkataa.
Ila hata hivyo akiwahi kujihami mapema kuripoti polisi na kutafuta wakili mzuri kesi inakuwa ndogo.
 
Wewe nenda police ufunguwe kesi ya kutapeliwa kwa maza na mwanae, police iwatafute wenyewe watakuambia yaishe gari peleka police kama kidhibiti, mbona watakusafisha wenyewe.......wa wahi tu
Ndio maana Kila nikiamua kuachana na JF huwa narudi fasta, huwezi kupata nondo kama hii popote mtaani!
 
Aliyekuuzia hukuweka picha, kitambulisho chochote? Je maandishi yalikuwaje, nadhani umetunga tu story hakuna anayeweza kanunua kitu kama icho kwa staili hiyo!
 
"au uamue kulipotezea tu kama sadaka ya kujimaliza pale Kawe."
[emoji1787]
 
"au uamue kulipotezea tu kama sadaka ya kujimaliza pale Kawe."
[emoji1787]
Sio ajimalize tu, ajiteketeze kabisa na moyo wake utakua umepondeka kabisa mbele za bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Badilisha kadi mzee unayo original acha kuzubaa mwaga hera ya Brush TRA mambo yameisha, wakija kufungua kesi unaenda na kadi yako mpya kesi imeisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…