Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi


 
Mjini mipango..@ ila mpeleke veteran (wizara ya mifugo) wao watajua mpk kumalizana nae.
 
Dahh.. huyu itakuwa uliziwa afutatu bila chenga yani [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mhhh kwani uliolewa lini?!
 

Hata huyo mumeo hajui,wee huoni huyo ni german shephard wa mikumi?
 
Umeupiga mwingi huo ni usafiri mzuri hata Waziri mmoja Kwenye wizara ya buku 3 anatumia mwache akae huko huko gereji.
 
Picha ya kudanlodi hii, weka picha yake uliyopiga wewe
 
Aisee, hukumfinya ili abweke kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…