Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

File name imebadilishwa kutoka screenshot kwenda kijibwa ameshamoderate thread tayari ili tu apate attention hapa jf. Kuna watu hawana kazi aisee.siku nyingine ukitaka kupost chai inabidi ujipange
Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee🤣🤣
 
View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Nmecheka sana mkuu, daaah!
 
Kwa kawaida fisi mtoto kumjuwa ni kazi kama si mwindaji ija punguza kelele mpeleke mpingo house waambie tapeli kafanya yake pole sana dada.
 
jaribu kumrushia mifupa uone anaitafunaje, ukiona anaila hadi analamba udongo jua fisi hilo. mbwa hana meno kuvunja mifupa. ukimwacha kuna siku atavunja mifupa yako.
 
Muumbue kwa kuiweka source
Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee🤣🤣
 
jaribu kumrushia mifupa uone anaitafunaje, ukiona anaila hadi analamba udongo jua fisi hilo. mbwa hana meno kuvunja mifupa. ukimwacha kuna siku atavunja mifupa yako.
Nilienda kumsalimisha Kawe Beach huko jirani na kwa Kikwete akatafune kuku wake
 
Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee[emoji1787][emoji1787]
Mbongo wwe mpee picha tu, story ataweka mwenyewe, na itanoga vile vile, na bado mtaomba mwendelezo!!
 
View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
We ni bonge la kiazi
 
Kwa kawaida fisi mtoto kumjuwa ni kazi kama si mwindaji ija punguza kelele mpeleke mpingo house waambie tapeli kafanya yake pole sana dada.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa Watu wa maliasili kufanya jukumu lao kubwa ka kutowa elimu ya wale Wanyama wote wa porini wanaofanana na Wanyama wanaofugwa na Binaadamu Kama hivyo hao mbwa mwitu, kuliko tu kukamata watu eti umemkuta na nyara ya Serekali, ilimpa elimu ya kutofautisha hao Wanyama Kama vile wwe ulivyopata kwanza elimu ya nyara za Serekali hadi ukawa unajuwa kuwatofatisha,hata mtu akitaka kukupiga Kama alivyopigwa sister wetu humu kwa kutokua na elimu hiyo tu basi, lakini ungemkuta kwenye fani yake nazani asingepigwa abadani!!!
 
Back
Top Bottom