Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #261
Hata JF ni kijiweStori za vijiweni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata JF ni kijiweStori za vijiweni
Sawa bibie,Hata JF ni kijiwe
Thank youSawa bibie,
Have a good time...
Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee🤣🤣File name imebadilishwa kutoka screenshot kwenda kijibwa ameshamoderate thread tayari ili tu apate attention hapa jf. Kuna watu hawana kazi aisee.siku nyingine ukitaka kupost chai inabidi ujipange
Njoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Nmecheka sana mkuu, daaah!View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
jaribu kumrushia mifupa uone anaitafunaje, ukiona anaila hadi analamba udongo jua fisi hilo. mbwa hana meno kuvunja mifupa. ukimwacha kuna siku atavunja mifupa yako.View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee🤣🤣
Na mdalasini[emoji16]
Alie umsikieNimfinye ili iweje?
Mlio uweke ringtone ya simu yako?Alie umsikie
Nilienda kumsalimisha Kawe Beach huko jirani na kwa Kikwete akatafune kuku wakejaribu kumrushia mifupa uone anaitafunaje, ukiona anaila hadi analamba udongo jua fisi hilo. mbwa hana meno kuvunja mifupa. ukimwacha kuna siku atavunja mifupa yako.
Kesi nimembambikizia JKNgoja ukutwe na maliasili kwa kesi ya kumiliki nyara ya serikali🤣🤣🤣
Una maneno sana wewe, ndo maana umeuziwa kanyaboyaMlio uweke ringtone ya simu yako?
Mbongo wwe mpee picha tu, story ataweka mwenyewe, na itanoga vile vile, na bado mtaomba mwendelezo!!Sijui kwa nn watanzania wengi bado ni washamba sana huku mitandaoni yaan kuna watu wameamin kabisaa huu uongo kama ni kweli ameshindwaje kumpiga picha halisi huyo mbwa ambaye ameambiwa ni fisi badala yake kaenda ku-download picha uko google then kaiattach. Hiyo picha aliyoweka mbaka source yake naijua watu wanajua kutunga aisee[emoji1787][emoji1787]
We ni bonge la kiaziView attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa Watu wa maliasili kufanya jukumu lao kubwa ka kutowa elimu ya wale Wanyama wote wa porini wanaofanana na Wanyama wanaofugwa na Binaadamu Kama hivyo hao mbwa mwitu, kuliko tu kukamata watu eti umemkuta na nyara ya Serekali, ilimpa elimu ya kutofautisha hao Wanyama Kama vile wwe ulivyopata kwanza elimu ya nyara za Serekali hadi ukawa unajuwa kuwatofatisha,hata mtu akitaka kukupiga Kama alivyopigwa sister wetu humu kwa kutokua na elimu hiyo tu basi, lakini ungemkuta kwenye fani yake nazani asingepigwa abadani!!!Kwa kawaida fisi mtoto kumjuwa ni kazi kama si mwindaji ija punguza kelele mpeleke mpingo house waambie tapeli kafanya yake pole sana dada.