Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hauna akili [emoji23]
 
Hivi kweli weye ni mrembo?Huwa huangalii hata Safari Chanel au Discovery utambue utofauti wa wanyama?😂😂😂😂
 
Njoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Pole ila kama unamashaka nae nenda katoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu yake kisha nenda ofisi ya maliasili ilio karibu ukifanya hayo hutokuwa na kesi tena fanya haraka ndugu yangu kabla hawajakufanya wamfano kwa wengine
 
Nilisha mtupa
 
Hauna akili [emoji23]
Hata Mume wake alimuambia hivyo kua hana akili baada tu ya kumuona huyo Mbwa wake!! Wanawake saa zingine ujuwaji mwingi alafu mbele giza!!!
 
View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
3605582C-2277-4DD4-B608-B5A78E3D9ECE.jpeg
 
Hii ni chai tu wala hakuna ukweli wowote
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka mpaka kwikwi...
 
View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Umeuziwa nyoka mtu
 
Sio fisi ni bongoshelfered, ni mix ya australian elliounous na manyema red dogs
 
Back
Top Bottom