Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
[emoji23][emoji23][emoji23] bongo hununui kicheko [emoji23][emoji23][emoji23]
Hauna akili [emoji23]View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hivi kweli weye ni mrembo?Huwa huangalii hata Safari Chanel au Discovery utambue utofauti wa wanyama?😂😂😂😂View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Pole ila kama unamashaka nae nenda katoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu yake kisha nenda ofisi ya maliasili ilio karibu ukifanya hayo hutokuwa na kesi tena fanya haraka ndugu yangu kabla hawajakufanya wamfano kwa wengineNjoo umchukue mfugo wako, mambo ya kesikesi siyataki. Hatujui hata kwa kumpeleka
Nilisha mtupaPole ila kama unamashaka nae nenda katoe taarifa kituo cha polisi kilicho karibu yake kisha nenda ofisi ya maliasili ilio karibu ukifanya hayo hutokuwa na kesi tena fanya haraka ndugu yangu kabla hawajakufanya wamfano kwa wengine
Mi nawajua the big 5 na mbuni na nyokaHivi kweli weye ni mrembo?Huwa huangalii hata Safari Chanel au Discovery utambue utofauti wa wanyama?😂😂😂😂
Hata Mume wake alimuambia hivyo kua hana akili baada tu ya kumuona huyo Mbwa wake!! Wanawake saa zingine ujuwaji mwingi alafu mbele giza!!!Hauna akili [emoji23]
View attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hii ni chai tu wala hakuna ukweli wowoteView attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Germany shepherd
YamenikutaHuyu fisi
Umeuziwa nyoka mtuView attachment 2414024
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
La ninaHamna hata Grand ma ama Grand pa huko shamba mkawape watawashukuru.
Sio fisi ni bongoshelfered, ni mix ya australian elliounous na manyema red dogsView attachment 2414024