Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Kitu fisi hicho,Ila fuga hivyo hivyo ,Kwani Hapo kibaka Hata katiza,Ila pia uwe tayari kuwa kitoweo siku moja🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Kama sio chai ya strungi basi fuga hiyo makitu itakusaidia mbeleni maana una nyota ya kichawi au umerithi jina la marehemu bibi yako sasa mizimu imeamua kukupa mikoba bila weye kujua.
Fuga hilo dubwasha litakusaidia kuwa linaenda kuiba mifugo kama mbuzi na kuku kwa majirani
 
Mw
Kanda yetu Kanda ya ziwa 🎵🎵🎵🎵🎵 nipe beat
 
Mi naona kwa hiyo picha sio fisi ila sina hakika kama ni mbwa.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni fisi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…