Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

View attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.

Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.

Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?

Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Hii ni kamba ipo na Twitter
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole..Huwa simuelewi yule jamaa na hata Mbwa anaowauza sijawahi kuwaelewa...

Halafu nilikuwa najua watu huwa hawanunui[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • 2Q==(10).jpg
    2Q==(10).jpg
    13.3 KB · Views: 9
Back
Top Bottom