Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
- Thread starter
- #41
Shepukweli wanawake huwa hawaeleweki wanavutiwa na nini, hata kama angekuwa mbwa kweli hapo alikuvutia nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shepukweli wanawake huwa hawaeleweki wanavutiwa na nini, hata kama angekuwa mbwa kweli hapo alikuvutia nini ?
Hii ni kamba ipo na TwitterView attachment 2413508
Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja.
Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa.
Asubuhi ya leo akaenda kumwangalia, nilikuwa nimemuweka garage sababu bado hatujapata kibanda chake. Nikashangaa mtu ananiita kwa hasira ananizodoa kuwa sina akili kabisa, nimeletaje fisi nyumbani?
Kwa kweli mimi wakati namnunua nilifurahia umbo lake alivyonona, sikujua fisi kuwa wako kama mbwa. Lakini pia nadhani nilirogwa.
Ndege Tausi basi hawana shida waleSitaki chita wala nani
Dar kila kitu kinamteja wakeDar es Salaam ni mji wenye watu wa ajabu sana. Kila kitu kinauzika
Ila mwenza hushindwiNipe mimi huyo fisi
Sitakii kiumbe yeyoteNdege Tausi basi hawana shida wale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo huyo ndio kaniuzia
Sema Mkijana..Boss dada 🫡🫡🫡
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitakii kiumbe yeyote
Nipo tu mdada tajiri 🙂🙂..Sema Mkijana..
Wakikuona itakuaje chakufanya rudisha serikalini ili wakusaidie chakufanya watakushukuru piaSi tutakamatwa kwa ujangili? Kesho ntaamka saa kumi alfajiri, kwa kuwa siendi kazini nitakabwaga maeneo ya Coco Beach, sitaki kesi mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole..Huwa simuelewi yule jamaa na hata Mbwa anaowauza sijawahi kuwaelewa...
Halafu nilikuwa najua watu huwa hawanunui[emoji1]
Mpaka bulb zilizoungua zinawateja piaDar es Salaam ni mji wenye watu wa ajabu sana. Kila kitu kinauzika
Aaaaah hilo neno mwishoni huko Hapana....Nipo tu mdada tajiri [emoji846][emoji846]..
Me na uwoga wangu hizo mambo acha niwaachie nyie auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Auntie!!!!
njoo upate vitu vizuri kutoka kwangu,nauza mbwakuku siku za kawaida analinda sikukuu unachinjaShepu
😅😅 naanzaje kushindwa. Wale mbwa mwitu wangu unawajua vizuri. Nikipata na fisi itapendezaIla mwenza hushindwi