Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Kila la kheri mkuu katika ndoa hiyo mpya ikawe kheri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoNdoa mpya🧐
Bila kupepesa atakua mchaga huyo?? 😂😂😂Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
haya majanga tena! wanawake asilimia kubwa wanasababisha msongo wa mawazo, vifo, magonjwa yasiyotibika kwa wanaume!Nilimweleza kuwa hapa ni nyumba ya mtu. Akadai kuwa watabanana humuhumu
Kwanin uliingia mahusiano nae? Yajengen muanze maisha tu, utarukaruka mpaka lin mkuu? Au bdo unampenda wakwanza?Bora mzunguko uendelee mkuu ila siwez kuishi na mtu ambaye sikuwa na malengo naye
Ukumbuki haya :“It’s all yours 🍑 babe, you’re the only one”Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja akapita na mambo yake japo siku kadhaa kabla ya kuachana aliwahi kunidokezea kuwa anahisi ana mimba yangu. Sikufikiria kitu kwa vile hakuwa na uhakika na hali ile.
Bas bwana, zikapita siku nne baada ya kuachana akaomba tuonane. Sikukataa na nilifanya hivyo. Alinipa taarifa rasmi kuwa amefanya UPT na majibu yanaonesha ni kweli amebahatika kuwa na mimba japo haukuwa mpango wetu.
Nilipokea taarifa kisha kila mtu akaendelea na mambo yake.
Baada ya muda aliomba tuende clinic ya kwanza kama yalivyo maelekezo ya wadau wa afya kuwa mahudhurio ya kwanza ni lazima waende wahusika wa ujauzito kwa ajili ya vipimo. Hapo nilichenga kulingana na nature ya kazi yangu..... niko busy sana mda mwingi. Siku zilisonga na alipewa barua ya kumruhusu kusajiliwa na kuanza clinic bila ya uwepo wangu.
Juzi nipo zangu kwangu (japo nimepanga) nikiwa napumzika mara paap!! Mabegi na mazagazaga yote ya yule mwanamke. Alipita hadi ndani kisha akawa mkali na maneno makali sana. Alinipa uhakika kuwa ameamua ahamie kwangu rasmi kwa sababu ya mimba japo sikuwahi kukataa kumtunza na kuilea mimba. Ila kiufupi ni kuwa nimevamiwa na mke.
Binafsi sijakubaliana na hii hali na sikumwonesha mwitikio hasi juu ya maamuz yake yaliouchukiza moyo wangu.
Sasa wadau hizi scenario huwa mnazitatuaje asee. Me sielewi yani ila nataka nimtoe niendelee na maisha ya kivyangu na nimtunze akiwa kwao hukohuko.
Karibuni kwa maoni
Amina ndugu🙏haya majanga tena! wanawake asilimia kubwa wanasababisha msongo wa mawazo, vifo, magonjwa yasiyotibika kwa wanaume!
Ndio hiyo kipindi wadogo wanasema kua uyaone sasa umeingia kwenye regret ya maisha usipoangalia watakuharibia maisha!
Kuwa mtulivu sana wa akili ndugu pia uwe unafanya Ibada na maombi.
Pole mkuu, kuish na mtu usietarajia wala moyon hayumo ni kaz sana.Nishakonda hata hvo. Ila n kukurupukia mahusiano