Nimevumilia nimeshindwa, amerudi amelewa na hana nguo hata moja

If its true then you are in big shit mkuu, mke anarudi bila chupi,analewa na kukojoa kwenye ndoo chumbani ? Pole sana mkuu na hongera kwa uvumilivu wako ,,,,,,,,,,,ila huna mke hapo
 
Haya ni ya kweliiii au ni hadithi mkuu...

Kuna mwanamke wa hivyo kweeeli????? Na kuna mwanaume mvumilivu kiasi hicho kweeeli???? Bado inaniwia ngumu kuamini
Hii kweli ni hadithi mkuu hakuna mwanamke wa hivo
 
If its true then you are in big shit mkuu, mke anarudi bila chupi,analewa na kukojoa kwenye ndoo chumbani ? Pole sana mkuu na hongera kwa uvumilivu wako ,,,,,,,,,,,ila huna mke hapo
ndio maana nimesema sasa ni kigoma mwisho wa reli
 
POLE SAMNA MDAU
 
Daaaah kwanza hongera kwa uvumilivu ulioonesha.
Pili pole kwa kuwa ulioa BOMU LA HIROSHIMA badala ya kuoa mke

commred Chichimizi
 
Achana nae ukishamuacha na akil zake za kipumbavu azitumie ss kuendesha maisha yake uone kama atafanikiwa kwa upumbavu wake


Unamrea mkuu shtukaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio ndoa inapokuwa ngumu,mkabidhi Mungu hiyo shida ili ikuepuke maana naona kila dalili za kuvunjika hiyo ndoa.
 
Pongezi na shukrani kwa kuniwekea vyema bandiko la uzi wangu kuweza kusomeka vyema
 
Pongezi na shukrani kwa mod's kuniwekea vyema bandiko la uzi wangu kuweza kusomeka vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…