Nimevunja kioo cha kishikwambi

Nimevunja kioo cha kishikwambi

amoc thedon

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
345
Reaction score
531
Tusichoshane. Mimi ni mwalimu katika shule X hapa nchini.

Jana katika pilika pilika zangu za hapa na pale si nikajikuta nimevunja kioo cha kishikwambi changu nilichopewa na serikali ya chama cha mapinduzi.

Naombeni ushauri wapi naweza pata spare maana me nipo Tanga, ama kama kuna utaratubu wa kufuata mtu ukiharibu naomba mnijuze.
 
Siku hizi siingii na vitabu darasani naupload notisi Safi kutoka msomi Bora nafundisha.
Mwongo sana [emoji1787][emoji1787] ndo faida ya kishkwambi katika kukuza ufundishaji ? Najua na watoto wanaelewa Kwa urahisi zaidi sababu uneshika kishkwambi
 
Kishikwambi ni samsang ila ckumbuki aina gani, ni samasang ambayo kioo chake kipo kama kilamelala kushoto na kulia hiyo ndio kishikwambi ,na gharama za kioo kwa ile cm ni kuanzia 150000 mpka 300000 kutokana na duka utakalopata kioo na ubora wa kioo chenyewe hii inapelekea cm aina ya samasang ikivunjika kiooo iwekwe ndani ukanunue nyingine
 
Tupe aina ya Kishikwambi chako tukupe kioo.
Sasa mwalimu mbona unakuwa mzembe sana unabunjaje kioo cha Kishikwambi?
Angalia usije katwa mshahara wako kwa muda wa mwaka mmoja kufidia Kishikwambi.
Aina ni hivi vya walimu vilivyotumika kwenye sensa
 
Mwongo sana [emoji1787][emoji1787] ndo faida ya kishkwambi katika kukuza ufundishaji ? Najua na watoto wanaelewa Kwa urahisi zaidi sababu uneshika kishkwambi
Lengo kubwa Ni kurahisisha ufundishaji na kuokoa muda ndio maana ya ulimwengu wa kidigital
 
Back
Top Bottom