Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
1.Students marks records nk.Kishkwambi sio mali ya shule au ya serikali, ni mali ya mwalimu kwa sababu mali yeyote ya serikali huingizwa kwwnye ledger na kupewa namba. Hivi vimegawiwa, sijui kada ya shule ila sisi wwngine tumepewa kwa kutumia namba ya mshahara na wanaostaf naona wanaondoka navyo.
Sijui ni kwa nini bbaadhi ya watu wameumia sana kwa mwalimu kupewa tablet wanahoji vitu vya kishamba na vya kijinga.
Matumizi yake ni haya.
1. Materials na notes nyingi zipo online hivo mwalimu atatumia mda mfupi kuandaa notes so badala ya kuandika atasihifadhi tu na kuzitumia tena na tena.
2. Wakati wa kufundisha hatalazimika kuwa na gadfets nyingi around sababu kila kitu kitakuwa kwenye tablet
2.Simution of abstract ideas.
3.Software approach based teaching.
4.Best library access.
5.Lessons records for future use.
Matanzania badala ya kupigania vishikwambi viongezwe ili wanafunzi nao wawe navyo yanabeza tu.
Sasa unabaki kujiuliza bora serilikali isingegawa au ilivyogawa.
Utakuta limtu(kwa lugha ya Sabaya) halijui hata kutumia internet, office programs nk ila linapayuka humu.
Utakuta hata kwake hsalina hata used computer kwa matumizi ya watoto wake ila linapayuka.
Utakuta jitu linabeza halijawahi ku donate hata penseli. Haya majitu ya hovyo tuyapuuze kabisa.