Kishkwambi sio mali ya shule au ya serikali, ni mali ya mwalimu kwa sababu mali yeyote ya serikali huingizwa kwwnye ledger na kupewa namba. Hivi vimegawiwa, sijui kada ya shule ila sisi wwngine tumepewa kwa kutumia namba ya mshahara na wanaostaf naona wanaondoka navyo.
Sijui ni kwa nini bbaadhi ya watu wameumia sana kwa mwalimu kupewa tablet wanahoji vitu vya kishamba na vya kijinga.
Matumizi yake ni haya.
1. Materials na notes nyingi zipo online hivo mwalimu atatumia mda mfupi kuandaa notes so badala ya kuandika atasihifadhi tu na kuzitumia tena na tena.
2. Wakati wa kufundisha hatalazimika kuwa na gadfets nyingi around sababu kila kitu kitakuwa kwenye tablet