Nimevunja ndoa ya rafiki yangu


aisee,sijapata kuona shetani la aina yako,nina wasiwasi tu na huo uhusiano uliokuwa nao na mwanamme mwenzako,pengine mmekuwa na mchezo mchafu ndo maana unakuja hapa jukwaani kujishebedua ka jike kwa kuvunja ndoa ya huyo mtu wako.kafilie mbali
 
Nilikafikiri unaakili, kumbe tope tu ndo limejaa kichwani.
 
Kweli wewe ni Boflo hamna kitu kichwani,subiri ya kwako nae atakuacha na hautaenda kijijini bali utakuwa kichaa,malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni raha tu
 
Huyo mwanamke unayemwita mkorofi naamini alikuwa anakushutumu akiwa na uhakika kuwa unamchukulia mume wake na sio kuwa ulimfundisha mume wake tabia mbaya.. kwa hiyo umeona mwanamke wa watu anafaidi sanaa?? kwa hiyo siku hizi ni fully kujiachia msheeee........n..zi mku....bwa wewe!!!! wamelaaniwa watu type yako.
 
mnamshambulia Boflo kwa kosa gani.? Nikimshauli baba yako amuache mama yako atakubali.? au wewe umuache mume/mke wako.! Kila mtu akili mukichwa bana.
 
Hapo hakuna cha mtoto wa kitanga wala wa kiny....ok..o,,, ni yeye mwenyewe huyu kajigeuza mtoto wa kitanga.
 

Kweli kabisa mwanaume kamili anasimamisha kila asubuhi hawezi fanya haya,atakuwa alikuwa anamuonea wivu huyo mwanamke.
 
What God has brought together let no man lay asunder. You have committed a great sin my brother.

Na amesahau kwamba".... Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa" Luka 17:1-2
 
Boflo umekomeshea kwa kuharibu kabisa
 
Last edited by a moderator:
wewe pipa uliyemshauri mfuniko halafu kuna njia ulizotumia kumshawishi

kama ni mama yako aliyekulea kala hasara
 
aiseehh..!
Uliadimika sana hapa.

Ila habari yako ya uongo.
 
Ungebadili tu namba ya simu.
Nimetukanwa sana dadangu kwa kosa ambalo
siko nalo.... Na nilikua nikimsaidia sana huyu rafiki...
pamoja na yote kila siku naporomoshewa mitusi....jamani sasa nifanye nini?
 
Teh teh teh teh teh teh
 
kumbe hata wanaume wanavunja ndoa za wanaume wenzao lol,nilikua najua kua -+ ndo vya zalisha umeme kumbe hata -- looo kwelii!
 
Mmmmmh hujisomi mtoa Mada. Wacha jamaa ateswe huko ndipo atakurudia kwa mapanga
 
Yaaani mamayetu angesubiri sekunde30 akuzae angekuffana kifafa cha mimba
Mshukuru sanakwa kuwahi kukuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…