FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
True F1....hata mimi baadae nilikuja kugundua kua huyuNikiangalia vizuri huyu mwanamke hakuwa mkorofi bali alikuwa anampenda mme wake
Hivi unadhani kama mtu hakupendi atakutafuta kwa nini ajisumbue akili ?
we hata ukirudi asubuhi wala hakuulizi
sana sana na yeye atatafuta mchepuko ili mwende droo
so huyo mwanamama alikuwa anamlinda mmewe na kwa vile mmewe alikuwa mtembezi sometimez labda mkewe alijua yuko kwako ,kumbe yeye mtaa wa saba
Wana jf wa sasa sijui mkoje? Mnanipa makavu, matusi, laana...khaaa, hamjui hata
kutoa ushauri, mko tofauti na wa zamani ambao kama nimeleta
thread ya kuwaudhi huwa wananipa ushauri mzuri, nisifanye hivyo
kwa sababu hii na hii na hapo wengine wanakuombea dua kua
Nisamehewe makosa na niongezwe kwenye njia sahihi kwa kua
hakuna aliye mkamilifu......mpaka roho yako inaridhika na unajuta
kwa mabaya uloyafanya....lakini wa sasa kazi mipasho, laana, maapizo, kupigana, khaaaaaa
Eti ushiri usifanye hivyo wakati ulisha fanya, hahahahaha mamaafacebook
Afanye yake yepi sasa nae hana maisha ana kazi ya kuandamana na mwanaume mwenzie kutwa? Mtu hana hata geloflendi wa kumuweka busy, anatukanwa na mke wa jamaa anaenda kujisemelesha kama vile yeye ndo nyumba ndogo ga jamaa.
Hehehe he is a sissie!
Mbona umekuwa mkali hivyo?
Nimempa deal nyingi za business....nilimuuzia gari kwa
mkopo ambayo alikua akitembelea na huyo mke mkorofi....
na mpaka leo nimelipwa 50% tu...tatizo lenu wanawake
hamjiamini....kila mara mnafikiri mambo ambayo siyo kbs