Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

Bora ya nusu hasara kuliko hasara kamili. Inaelekea hata ndoa yenu ingekuwa haiishi migogoro kwani mama anataka kuvaa suruali na ndani ya nyumba kuna nguo mbili tuu yaani gauni na suruali. Sasa ikiwa yeye anataka kuivaa suruali , wewe ingebidi uvae gauni maana ndiyo nguo iliyobaki nyumbani.
 
Kuna tofauti baina ya mwanamke unayetaka kuingia nae ndoani na dem, mwanamke ukishamwita dem huwezi kuingia nae ndoani kamwe!

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Duh, muwowaji hapa hakuna.....! Utaacha Wengi iwapo hata vi 'issue' vidogo vidogo ivi vinakutoa jasho unashindwa kuvitatua.
Suo issue ndogo mwanamke ambaye anataka makuu hafai mbaya zaidi hata kujishusha kwa kauli hana uko mbele wangekuja kutoa meno.
 
Jamani hakuna tena wanaume wamebaki wavulana tu. Ushaambiwa mwanamke hupigwa na upande wa khanga na silaha yako kubwa iwe faragha mchape na....... Sawasawa nikisema sawasawa simaanishi ukafakamie valuer sijui Viagra sijui vumbi la kiwanzenza aka Congo, au una pump usiku kucha kama feni lahaulaa. Mpelembe Mtoto wa watu mfanyie maujanja kitandani huku ukizungumza naye hayo mambo. Mtoto WA kike ukishamkoleza nakwambia hata yeye angejiita Kadala au kachiki au koku au atupakisye. Sometimes mnatumia nguvu sana kuweka Mambo yenu shwari mpaka mnatoana ngeu lkn kama ungezitumia zile kuta nne faragha mambo yako yangekuwa supa. Shemeji yenu alikuwa pombe na yeye lkn nilifanikiwa kumbadirisha kwa jinsi nilivyompelemba akawa hawezi kwenda kokote bila mie hadi leo 15yrs ya ndoa tumekuwa mapacha
 
Wengi mmemshambulia ila point hamjaziona alizotaja ngoja niwasaidie
1.Bint ana dharau kwa namna anavyojenga hoja zake kwa namna ya kumuumiza mwingine, eti jina la mama la kishamba, angetafuta namna nzuri ya kuwasiliana na hiyo inaleta point ya pili 👇🏻
2. She lacks good communication skills
3.Kiburi,majivuno na maringo
4. Ulimbukeni na kutojimbua
Nyingine ambayo hujataja🙂🙂
Bora umemwacha wewe ndio unajua unamudu wa aina gani🙌🙌
 
Ungethubutu kuingia kwenye ndoa ungekiona cha mtema kuni

Kujimwambafy kusingeishia kwenye aina ya ndoa na majina ya watoto

Ungekaa vibaya, angekuchapa hata vibao

Happy new year 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mapenzi ya secondary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…