Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

Anangalia sana movie za kihindi huyo Dada, me wananikera Sana na majina yao
 
Wanaume wengu wamekomenti bila tafakari. Kiuhalisia kuna mambo madogomadogo ambayo hutuashiria yajayo katika ndoa. Leo Mwanamke bado ni uchumba tu lakini anataka awe muamuzi kwa maswala nyeti tena ya kiukoo. Unadhani mwanamke kama huyo utamuelea nini akiwa katika ndoa? Kuoa sio majaribio, I can't take risk in this. Angekua dum wa kupush naye poa, lakini mwanamke wa kuzeeka naye no, bora aje kubadilika baadae sio kwa kasoro nilizo ziona mapema. Ndio maana wanaume tunakufa mapema kwa kuishi na stress.Ataanza na hili kesho anataka awe muamuzi wa mengine makubwa zaidi, sasa kwa nini wakati pauchi zipo kibao tu. Mimi kwahili acha nionekane dhaifu au mshamba sawa.
 
Back
Top Bottom