LGE2024 Nimevunjika moyo na uchaguzi huu wa leo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Leo ni siku ya upuuzi hakuna uchaguzi,
Wenye akili tumejitenga na huu upuuzi,

Kwa Nini tamisemi wamegangania kusimamia uchaguzi?; kama kweli wanajali demokrasia na haki za watu

Quote
 
Mimi mahali nilipopiga kura Hali ilikuwa hivyo hivyo.Hakina hata mmoja aliyerudishwa kwa jina lake kukosekana.Wote tumepiga kura bila kuweka alama ya wino kwenye vidole
 
Kwa upumba huu uliofanywa na CCM na vyombo vya dola kubaka demokrasia mchana kweupe bila aibu sitakaa nipige kura tena maisha yangu yote yaliyobakia. Mamia ya mabilioni yaliyotumika kwenye mchakato huu bora yangeelekezwa kwenye huduma za kijamii. Tungekuwa na JW wanaojitambua wangeikomboa nchi kutoka kwa hawa washenzi makaburu weusi CCM.
 
Mtaani kwetu pia wagombea ni ccm tupu, sasa wanahimiza watu wapige kura ili iweje.?
 
Mtaani kwetu raia wamegoma kupiga kura wanapita kuwatangazia watu wakapige kura. CCM na TAMISEMI yao ni hovyo sana utalazimisha vipi watu wameshakuchoka ? Kaa pembeni jifunzeni kutoka kwa wenzako.
Hii ni sawa KABISA NA MTAANI KWETU, wananzengo wameona ni kupoteza muda tu. Jamaa Walikuwa wenyewe na masanduku yao ya kura wakipiga miayo tu.
 
Ulitaka atafute kwa dk ngapi. Je ulithibitisha kuwa ni jina lako? Low score yako ya uelewa unataka ifanye maamuzi ya nchi. Acha ukilaza basi
 
Kura yako imeharibika brother wale watatu ilibiidi uwapigie wote siyo mmoja 😂 😂 😂 😂
 
hata huku niliko mambo yalikuwa hivo hivo, nadhani hiyo hali iluwa karibu sehemu kubwa ya nchi maana sehem nyingi waliwaengua wagombea wa upinzani na sehemu nyingine wakijua wewe ni mpinzani ujue uko kwenye matata mazito
 
Hayo ya leo yalikuwa maonyesho ya upumbavu wangozi nyeusi
 
Majizi
Ccm ccm ccm ni majizi
 
Kuna kitabu kuhusu critical thinking kinasema 'critical thinking is thinking about one's own thinking'.
 
Kuna kitabu kuhusu critical thinking kinasema 'critical thinking is thinking about one's own thinking'.
actually,
ni muhimu sana,
maoni na mtazamo wa kila moja ukaheshimiwa bila makasiriko, na itapendeza zaidi
 
Kwa upumba huu uliofanywa na CCM na vyombo vya dola kubaka demokrasia mchana kweupe bila aibu sitakaa nipige kura tena maisha yangu yote yaliyobakia.
Duh,
Usiseme hivyo broh.
Hakuna tatizo lisilo na suluhisho, ila mwenye tatizo anaweza asione solution kutokana na upeo wake, uzembe, nk., au muda sahihi haujafika.

Kususa kama hivyo ni sawa na kususia ngedere shamba la mahindi, atakula yote tena kwa vigelegele bila shukrani kwako.

Wananchi wengi wanasikitika mnoo.
Naamini ufumbuzi upo, utapatikana..
Mamia ya mabilioni yaliyotumika kwenye mchakato huu bora yangeelekezwa kwenye huduma za kijamii.
Kweli
Tungekuwa na JW wanaojitambua wangeikomboa nchi kutoka kwa hawa washenzi makaburu weusi CCM.
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…