LGE2024 Nimevunjika moyo na uchaguzi huu wa leo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Of v
Kupiga kura kwa nchi ni kupoteza muda. Mimi nilishaacha
Of course, inakatisha tamaa. Nilikuwa nimekata tamaa kama tangu mwaka 2020. Wiki mbili zilizopita nili'share' jambo hili na colleague. Akani'challenge', akisema "unadhani watu wote wangekuwa kama wewe Botswana upinzani ungeshinda uchaguzi? Nikatafakari, nikaona ni kweli. Kuanzia mwakani na kuwa tena active katika kupiga kura, na hata wakiiba kura kuna siku as days pass by mabadiliko yatatokea kwa sababu systems ukifika muda wake collapse. Haya ndiyo matumaini mapya niliyonayo na nawashauri wote ambao walikuwa wamekata tamaa kama mimi tuendeleze harakati za kupigania haki hadi ushindi upatikane - yaani tuweze kuwa na chaguzi huru na za haki na tupate viongozi wanaotokana na kura halali, na si za wizi wizi.
 
Ujinga hauwezi kuisha kirahisi Afrika...
 
uchaguzi huu umefanyika kuzuga ili wapate uhalali wa misaada ya wazungu otherwise Mungu hazihakiwi. Naandika kwa herufi kubwa WALE WOTE WALIO SHIRIKI DHULUMA KATIKA UCHAGUZI HUU KWA MAKUSUDI NA WANAJINASIBU MBELE ZA WATU KWAMBA TULIOMBEE TAIFA LETU KWA MUNGU MIAKA HII MIWILI MAJIBU WATAYAPATA . (Jeremiah 17:11 )
 
Akili ndogo sana mkuu. Huko ulaya unakodai umezurura kama kweli ulienda kujifunza ujinga na uhayawani huu unaoandika?
Huwa wanafanya huu ujinga mnaofanya nyinyi huku Tanzania?
Uyu jamaa anajifanyaga jentromeni lakini deep down mshamba tu kama washamba wengi
 
Ni hatari mkuu watu wako tayar kuvua nguo zao za bei ya chini, ili wajipime nguo za gharama zisizo za kwao.
 
Ila uchaguzi huu unatoa picha kuwa watanchi wanataka nini na system inataka nini!!
 
Kuna mtu/watu umeona wanajiita nyumbu kama ambavyo tunaona mkijiita chawa na mpaka mwenyekiti wenu anatumia neno "chawa wangu"!?
 
Kuna mtu/watu umeona wanajiita nyumbu kama ambavyo tunaona mkijiita chawa na mpaka mwenyekiti wenu anatumia neno "chawa wangu"!?
mie nimeamua tu kujitenga na hizo dhana za unyumbu na uchawa maana inaonekana ni matusi mazito sasa 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…