mkulimamwema
Senior Member
- Apr 14, 2011
- 153
- 18
pole nimekuombea MUNGU akupe wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana ikawa sababu, lakini si afadhali amesepa kabla hajaonja...... angeonja afu asepe? LOLHahahahaha nashukuru si mind hizo biology hata huyu hatukula tundi, maybe ndio maana amesepa au waonaje? but makubaliano yalikuwa mpaka ndoa, nashukuru sana asprin kwa kweli umenipa ushauri mzuri nitahakikisha nakuwa mwenye furaha masaa yote
Thanx, im trying to be happy as soon as i can, thanx again this means so much to meYawezekana ikawa sababu, lakini si afadhali amesepa kabla hajaonja...... angeonja afu asepe? LOL
Be happy Dinnah darling...be happy!.......Huwezi jua kuondoka kwake ni mpango wa Mungu wa kukuandalia furaha kuu zaidi.
Sema Ahsante babu, kabla sijabadili mawazo.
Nimekwambia sema AHSANTE BABU!Thanx, im trying to be happy as soon as i can, thanx again this means so much to me
Dinnah hujambo mpenzi?
Nikuambie kitu?
Mpwa tunahitaji utulivu, Dinna yuko chumbani na Mchungaji wakiwa kwenye mamombi mazito....wasiliana na MOD hii thread ifungwe kwa muda....Nakemea nguvu za mapepo
Mheshimiwa padre
Sikujua kuwa
Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see
Nimekuona Mlei!
kama amekushow hivyo then achana naye. dont insist!nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Atleast umenipa cha kucheka, sijawahi hata kumuomba mia tano japo hali yangu duni, naridhika na nilichonacho
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Dinnah bado moyo umevunjika??
Kwanza pole sana Dinnah,shit happens.Pili,usikimbilie kumlaumu tu jamaa yako kwamba hayuko fair.Wanawake wengi wanadhani connection ni kwenye kukiss na sex na ku take care of each others,wrong!JICHUNGUZE WHY KAKUAMBIA HAMNA CONNECTION,HAWEZ AKAWA AMEROPOKA TU!PUNGUZA HASIRA NA UJICHUNGUZE MAKOSA YAKO,HII ITASAIDIA KUTORUDIA KOSA KWA MWANAUME MWINGINE.UKUTE WEWE UNAPENDA KUSALI SANA WHILE YEYE NI WA KU PARTY TU(MFANO).MKIWA IN LOVE,CHUNGUZANENI JAMANI.E.G KAMA MWANAMKE HUPENDI KUANGALIA FOOTBALL,JIKAZE TU UANGALIE NA MPENZIO ANAYEPENDA.SISI WANAUME TUNAVUTIWA NA MWANAMKE ANAYE SUPPORT MAMBO YETU.nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Hahahah Mchungaji una hila weye! Tena hila ya kwapa, kunuka pasi kidonda!Mi nataka nimpe therapy ingine kama badoUnataka uuvunje tena? Lol