Nimevunjika Moyo

Nimevunjika Moyo

Hahahahaha nashukuru si mind hizo biology hata huyu hatukula tundi, maybe ndio maana amesepa au waonaje? but makubaliano yalikuwa mpaka ndoa, nashukuru sana asprin kwa kweli umenipa ushauri mzuri nitahakikisha nakuwa mwenye furaha masaa yote
Yawezekana ikawa sababu, lakini si afadhali amesepa kabla hajaonja...... angeonja afu asepe? LOL

Be happy Dinnah darling...be happy!.......Huwezi jua kuondoka kwake ni mpango wa Mungu wa kukuandalia furaha kuu zaidi.

Sema Ahsante babu, kabla sijabadili mawazo.
 
Yawezekana ikawa sababu, lakini si afadhali amesepa kabla hajaonja...... angeonja afu asepe? LOL

Be happy Dinnah darling...be happy!.......Huwezi jua kuondoka kwake ni mpango wa Mungu wa kukuandalia furaha kuu zaidi.

Sema Ahsante babu, kabla sijabadili mawazo.
Thanx, im trying to be happy as soon as i can, thanx again this means so much to me
 
Mpwa tunahitaji utulivu, Dinna yuko chumbani na Mchungaji wakiwa kwenye mamombi mazito....wasiliana na MOD hii thread ifungwe kwa muda....Nakemea nguvu za mapepo

Mheshimiwa padre

Sikujua kuwa
Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see
 
:cool2:


nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
kama amekushow hivyo then achana naye. dont insist!
 
Atleast umenipa cha kucheka, sijawahi hata kumuomba mia tano japo hali yangu duni, naridhika na nilichonacho

Hawa wakaka basi tu, kuna wakati nawaza bora awe na cash akiondoka angalau I have something to justfy maumivu! sasa umempenda, mapenzi umempa n umemuheshimu bila hata kumchanganya na mwenzio then yrs eti nt a match! Inauma ila nadhani bora kawa mkweli usilazimishe mkaka akisema siioni future anamaanisha si kama sisi wadada tunakomaa tu hata kama haiwezekani. Usimbembeleze please, mwambie nimekulewa n move on na ukichukulia hata athiri maisha yako financially as shs kumi alikuwa hatoi endelea mbele, wengi tunakomaa kama kuna financial interest as unaogopa utacover vipi hilo gap ' guyz ni ukweli tu umezeni hivyo' Hata kama yauma vipi make sure yy ndo unakutafuta in any thing usimtafute! Be expensive n show him that, coz confidence itamvuatia Mr. Right, usiombe radhi 'maana ndo zetu wadada huna kosa eti...' usiseme tuipe muda zaidi coz utaanza kuwork hard to make it work while mwenzio hayupo na unapoteza ur precious time!
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,
hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?
Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni

Furaha unayo wewe mwenyewe ndani ya roho yako.. Hakuna atayeweza kukusaidia..kumbuka Mwanaume ni catalyst/chachu ambayo inaweza ku-expire siku yeyote.. Upendo wa kweli anao mama yako tu..sisi wengine tunajaribu...Ukijua haya basi ujiandae kiroho na kisaikolojia ili Catalyst/chachu/mwanaume aki-expire furaha yako ndani ya roho iendelee kudumu milele..in short..usituamini sisi wanaume.. ni viumbe dhaifu na wabinafsi!! It is all about us.. Bad boyZ..
 
pole sana mpz, muombe sana mungu na umtangulize ktk mambo yako na kuwa na imani wako wa maisha yupo mtakutana tu siku ikifika
 
Pole kwa huo wakati mgumu,but maumivu hayo ya sasa yatapona tu kuliko ungeingia hatua kubwa zaidi kimahusiano.Mshukuru Mungu
 
nimeamua tu kupost mnipe maneno ya faraja nimevunjika moyo tena na tena,hivi ,nianzie wapi na niishie wapi?Niliyedhani twaweza pendana milele na milele kanitamkia wazi haoni connection between us, hivi kwa nini mapenzi hayako fair?Nawakilisha mnipe moyo ndugu yenu ......... ahsanteni
Kwanza pole sana Dinnah,shit happens.Pili,usikimbilie kumlaumu tu jamaa yako kwamba hayuko fair.Wanawake wengi wanadhani connection ni kwenye kukiss na sex na ku take care of each others,wrong!JICHUNGUZE WHY KAKUAMBIA HAMNA CONNECTION,HAWEZ AKAWA AMEROPOKA TU!PUNGUZA HASIRA NA UJICHUNGUZE MAKOSA YAKO,HII ITASAIDIA KUTORUDIA KOSA KWA MWANAUME MWINGINE.UKUTE WEWE UNAPENDA KUSALI SANA WHILE YEYE NI WA KU PARTY TU(MFANO).MKIWA IN LOVE,CHUNGUZANENI JAMANI.E.G KAMA MWANAMKE HUPENDI KUANGALIA FOOTBALL,JIKAZE TU UANGALIE NA MPENZIO ANAYEPENDA.SISI WANAUME TUNAVUTIWA NA MWANAMKE ANAYE SUPPORT MAMBO YETU.
 
Pole sana mpenzi. Mshukuru Mungu kwa kila jambo kwani hata hili kuna alilokuepusha nalo. Mungu ni mwema sana muombe akuvushe salama katika hili na hatimae umpate anayekustahili. Pole sana
 
Back
Top Bottom