Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe
Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico
Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini