Nimevuta Bangi aka ganja na hakuna kilichonitokea niko kawaida kabisa

Nimevuta Bangi aka ganja na hakuna kilichonitokea niko kawaida kabisa

Mimi nilishawahi kumeza viagra lakin hakikutokea chochote. Phamacy nilikozinunua niliambiwa nimeze tembe moja. Lakini nilipoona haifanyi kazi nikaongeza na ya pili lakini wapi. Nadhan hata wewe kinakukuta kitu kama hicho😅
Hahaha oyah Viagra
 
Huoni ilivyokupoteza, lengo ilikuwa uondoe stress badala yake umekuja kufungua thread jf
 
Hebu vua nguo zote ubakiwe na saa tu halafu katiza mtaani hapo kwa madaha.Wakikuuliza kwa nini haujavaa nguo,waambie umevaa suti ya kuogelea.
 
Marijuana safi haina madhara yoyote hii nikatika mimea mitakatifu inayo saidia katika mambo ya kiroho.
Kikubwa namuhimu nikua na uelewa sahihi wa kuitumia.ukiona ukitumia bangi unakutoa katika ufahamu ujue wewe ndio unatatizo kwenye mfumo wa ubongo.
 
Marijuana safi haina madhara yoyote hii nikatika mimea mitakatifu inayo saidia katika mambo ya kiroho.
Kikubwa namuhimu nikua na uelewa sahihi wa kuitumia.ukiona ukitumia bangi unakutoa katika ufahamu ujue wewe ndio unatatizo kwenye mfumo wa ubongo.
Sawa sawa mkuu
 
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe

Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico

Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847
Ukweli kwamba umekuja hapa kujisifia kuvuta bangi kitu ambachoni aibu kwa mtu mstaarabu, huo ni ushahidi tosha kuwa tayari umeathirika. Huwezi tena kupambanua kitu chema cha kujisifia nacho mbele ya watu na kitu kibaya kama bangi kuonea haya na fedheha mbele ya watu! Ukiona mtu mgonjwa lakini yeye anajiona yuko sawa tu ujue hiyo ni hali mbaya sana! Hata chizi huwa hajui kama yeye ni chizi!!
 
Back
Top Bottom