Nimevuta Bangi aka ganja na hakuna kilichonitokea niko kawaida kabisa

Umevutaje??
Wengi hawajui kuvuta, hudhani akitolea moshi puani basi tayari ashavuta.

Huwezi vuta ganja afu usihisi kitu, wewe hujavuta Joh, ulikua kama unapuliza moto tu.
Nimevuta na nime hii feel kabisa mbaka kwa brain
 
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe

Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico

Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847
Hivi ndiyo tayari ulidhani inakuwaje?
 
Bhangi itumie kwa manufaa yako zaidi na sikupunguza stress.
Bangi itumie kama kuamusha uwezo wako wa ndani.
Bhangi itumie kama tiba yako binafsi.

Bangi usiitumie kwa kuvuta tu unashauriwa kuitumia kwenye chai au chakula.. (inamaelekezo yake namna ya kuitumia)

NB: bangi haitaji watu wajinga wajinga. Ndio maana inakatazwa.
Ni mmea wenye baraka na laana (Life plant). Unao waona wanavuta bangi wanakuwa mateja na tabia mbovu hawakustahili kuitumia bangi. (Wameibaka)
Aya watumia bhangi typ..
 
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe

Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico

Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847
Ukitaka upate side effects kuna mambo yakuzingatia kabla haijavutwa na wakati ukiwa unavuta...

NB: hapo kuna side effects ambayo usipoweza kui control inaweza kukuletea shida .
 
Unajiona upo sawa kaka?
Kitendo cha kuandika thread ndefu pasipo kuwa na alama ya coma wala nukta,
Oyaaa...
 
Kaa chini hapo ulipo na anza kuomba msaada wa haraka kwa wapita njia maana kinachofuata hapo ni kikubwa zaidi
 
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe

Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico

Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847
Hahaa kilochotokea mkuu ni hicho cha kuvuta ganja na kujiona kawaida. Kimbia hospitali ya magonjwa yaakili haraka sana.
 
Tunaomba ka picha kabkusindikizia uzi kakiokesha mwonekano wako wa uso hasahasa macho yalivyojaa red eye bila ya wewe kujua. Ni majirani tu ndo wanabaki kushangaa
 
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe

Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico

Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847
Endelea kujumlisha tu izo bangi tuone mwisho kma hujatoa

Dogo langu kashaathirika na haya madude
 
Back
Top Bottom