Hahaha oyah ViagraMimi nilishawahi kumeza viagra lakin hakikutokea chochote. Phamacy nilikozinunua niliambiwa nimeze tembe moja. Lakini nilipoona haifanyi kazi nikaongeza na ya pili lakini wapi. Nadhan hata wewe kinakukuta kitu kama hicho😅
Endelea kuvuta mkuu hadi zikubangue,tuko pamoja na wewe mkuu!Kwangu ime fail
Sawa sawa mkuuMarijuana safi haina madhara yoyote hii nikatika mimea mitakatifu inayo saidia katika mambo ya kiroho.
Kikubwa namuhimu nikua na uelewa sahihi wa kuitumia.ukiona ukitumia bangi unakutoa katika ufahamu ujue wewe ndio unatatizo kwenye mfumo wa ubongo.
Ukweli kwamba umekuja hapa kujisifia kuvuta bangi kitu ambachoni aibu kwa mtu mstaarabu, huo ni ushahidi tosha kuwa tayari umeathirika. Huwezi tena kupambanua kitu chema cha kujisifia nacho mbele ya watu na kitu kibaya kama bangi kuonea haya na fedheha mbele ya watu! Ukiona mtu mgonjwa lakini yeye anajiona yuko sawa tu ujue hiyo ni hali mbaya sana! Hata chizi huwa hajui kama yeye ni chizi!!Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao sasa mimi nika wafata kwenye chimbo lao nikaomba kete mbili nikapewa fresh kwakuwa sijui hata kunyonga nikaomba nisaidiwe
Baada ya hapo nikaeenda kuzifuta sasa nikiwa nipo mwenyewe geton nimevuta lakini hakuna kilichotokea nipo sawa kabisa na sijaona kichwaa kuchanganyikiwa au vipi wala sijapoteza kumbukumbu wala mwendo haujabadilika na naongea na majirani fresh tunapiga story kama navyokuwa kila siku tukieendelea kusubir el classico
Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini View attachment 3135847