Nimevuta Bangi aka ganja na hakuna kilichonitokea niko kawaida kabisa

Huoni ilivyokupoteza, lengo ilikuwa uondoe stress badala yake umekuja kufungua thread jf
Thread ni kwajir ya kutoa feedback baada ya kuvuta
 
Nipo hapa kusema bangi hazina effect yoyote ni watu tu wana shida zao binafsi na njaa njaa + umaskini
Kwahiyo stress kidogo ulizonazo zimeisha, na umesha anza kutuponda kuwa "tuna njaa njaa + umasikini!?"
 
Ume catch mkuu sijaja kujisifia hapa ningetaka sifa ningepost picha kama kondeboy nimekuja kutoa feedback tu kwamba bangi haina chochote ni useless 🀜
 
Si wote wanaathiliwaga na ganja wengne wanaweza vuta Maisha Yao yote na wasidhuliwe ila kina sisi sasa eeeeeeeeeh!!! Ila mimi haijaniharibu mfano hapa Nmewapiga baba na mama mbele ya wazazi wangu
 
Tupe madini mkuu unaonekana unaijua vizuri
Njoo WhatsApp ujiunge na groups zangu za mambo hayo.
Namba chukua hapo kwenye profile picture. Tuma ujumbe WhatsApp naomba kujiunga na nguvu ya fikra.utasajiriliwa nakuanza mafunzo ukiungana nawachama wengine.
Chini ya miaka21 hawapati ruhusu yakujiunga.
πŸ™πŸ™
 
Bhangi itumie kwa manufaa yako zaidi na sikupunguza stress.
Bangi itumie kama kuamusha uwezo wako wa ndani.
Bhangi itumie kama tiba yako binafsi.

Bangi usiitumie kwa kuvuta tu unashauriwa kuitumia kwenye chai au chakula.. (inamaelekezo yake namna ya kuitumia)

NB: bangi haitaji watu wajinga wajinga. Ndio maana inakatazwa.
Ni mmea wenye baraka na laana (Life plant). Unao waona wanavuta bangi wanakuwa mateja na tabia mbovu hawakustahili kuitumia bangi. (Wameibaka)
 
Umevutaje??
Wengi hawajui kuvuta, hudhani akitolea moshi puani basi tayari ashavuta.

Huwezi vuta ganja afu usihisi kitu, wewe hujavuta Joh, ulikua kama unapuliza moto tu.
 
Subiri yapite masaa ikolee mwilini utashangaa usiku wa leo utakunya kitandani
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…