Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama?

Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia makosa ya jinai au wafungwe pingu wapelekwe watakuja kulipua nchi.

Halafu ukiwaona wanavyojimwambafai barabarani utawaona kama wazima vile kumbe ni wagonjwa wa akili vile! Serikali wapelekwe jela au wafungwe milembe hao infinix,itel na tecno users.
 
Back
Top Bottom