Nimewafukuza watu kwenye sherehe baada ya kugundua wanatumia Tecno na infinix

[emoji23][emoji23][emoji23]taste & preference. ...utakuta mtu anatumia Infinix lakin hela alizonazo anaweza akakununulia wewe, mke wako, mama mkwe wako na shemej zako wote Iphone matata sana.
 
Wale wa techo, infinix na itel vpn free kwenye phoenix sasa wewe na hiyo iphone5s endelea kukaza fuvu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]taste & preference. ...utakuta mtu anatumia Infinix lakin hela alizonazo anaweza akakununulia wewe, mke wako, mama mkwe wako na shemej zako wote Iphone matata sana.
Alafu watu wenye Hela hawatumiagi simu Kali utakuta ana kanokia ka toch na tecno yake tu maisha yanaenda
 
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama?

Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia makosa ya jinai au wafungwe pingu wapelekwe watakuja kulipua nchi.

Halafu ukiwaona wanavyojimwambafai barabarani utawaona kama wazima vile kumbe ni wagonjwa wa akili vile! Serikali wapelekwe jela au wafungwe milembe hao infinix,itel na tecno users.
😏
 
Dah we kajitu kachawi, lile lihirizi lako unalolining'iniza kiunoni linapumua unalo hapo nyuma ya kibodi yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu jaman khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanzoni kabisa wewe ulinunua zile simu maarufu kama "mchezo wa sabuni" umeshabadilisha?
 
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama?

Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia makosa ya jinai au wafungwe pingu wapelekwe watakuja kulipua nchi.

Halafu ukiwaona wanavyojimwambafai barabarani utawaona kama wazima vile kumbe ni wagonjwa wa akili vile! Serikali wapelekwe jela au wafungwe milembe hao infinix,itel na tecno users.
We mwenyewe inaonekana umeandika huu uzi ukiwa milembe.
 
Eti wahujumu uchumi,!!! Kwani izo cm wanazinunua nje ya nchi?? Kama ni hivo basi ata serikali na enyewe inahujumu uchumi wa nchi hii, kwakua imeruhusu cm hizo kuingia nchini,, so unapaswa kudeal na high level na sio wa2miaji.
 
Back
Top Bottom